inafanana na chakula cha KichinaNimekumbana na birian hili sehemu
Fulani.....
Syo kama yale mabirian wnayoyanadi kwa kutumia makalio!
Ova
View attachment 1118452View attachment 1118453
inaitwa “卤”(mchuzi)kwa Kichina. Wachina wanapenda sanasana kula 打卤面(tambi za mchuzi)Kwenye bakuli ni nini??
Ahsante kwa ufafanuzi bwana Bakari China.inaitwa “卤”(mchuzi)kwa Kichina. Wachina wanapenda sanasana kula 打卤面(tambi za mchuzi)
karibu tenaAhsante kwa ufafanuzi bwana Bakari China.