Biriani Ijumaa

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Nani ajuaye atupe maarifa kwanini chakula cha Biriani kinapendwa kwa Ijumaa kuliko siku zingine zote? Kina mahusiano na ibada?

Kila mgahawa unaopika Biriani lazima usisitize neno Ijumaa.
 
Ni tamaduni na sii imani, chakula cha biriani huliwa sana maeneo ya uarabuni, na hiii imetokana na siku na sherehe ya mwisho wa kila wiki baada ya ibada ya ijumaa, kama ilivyo kwa tamaduni zengine za wasabato kula makande jmoss na wakristo kula pilau j2 hivyo hivyo kwa jumaa ni Bririaniiii mbuzi kwa wingi 😁
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…