Biriani ya Samaki

Asante dia kwa kuniita, pishi ni tamu na mimi nitajaribu siku isokua na jina
 
aisee, imetulia hii kitu. siku yake nilijaribu namie. asante kwa maujuzi
 
Da farkhina , mwenzio si nikajaribu kuipika hii biriani, tena siku hiyo sikwenda "kibaruani", nkasema ngoja nimfanyie suprise "mwafulani". Nikapika ndizi utumbo za nazi mana ndizo zilikuwa kwenye ratiba siku hiyo kisha nkasema ngoja nipike na biriani ya Da Fa' kidogo as surprise. Mchele sikutumia Basmat, lile chele lilijua kunchezea!lilitoka bokoboko si bokoboko, ubwabwa si ubwabwa utadhani wali ule tuliokuwa tukila enzi zile shule za bweni za serikali. Nikawa mdogo kama nukta!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah pole sana huo mchele uliweka maji mengi Nini?
 
Last edited by a moderator:

I see pole
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah pole sana huo mchele uliweka maji mengi Nini?

Wala si maji mengi basi tu michele hii ya nje balaa tupu. Niliwahi pikia pilau mara moja nikaona mzuri ndio nkajaribu kupikia biriani. ukiisha huu sitaununua tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…