Mods hawajaona uandishi huu wa ajabu? Nimeona nikashangaa nikadhani uzi umeandikwa na Mgiriki anayejifunza Kiswahili.Happybeth _happy birthday
Aliyouzulia_aliyohudhuria
Kurisishwa_kurithishwa
Kwa uandishi huu bora ufe hata leo
Anacho takiwa kujua ni kwamba hili ni jukwaa la wasomi, tena la Great thinkers, asiye jua kuandika kwa ufasaha ama Kiswahili au Kiingereza basi ajue hapa siyo mahali sahihi kwake.Hapana Sio ya kipuuzi!
Unajua,uandishi unaweza kusababisha kushindwa kujua kama hoja ni ya muhimu ama la!
Isitoshe naamini hili ni jukwaa la wasomi na watu wenye fikra makini.
Makosa ya uandishi au matamshi huweza kupunguza nguvu ya hoja!
πππ Yaani waganda Ni wapole kishenzi hata makalio wanashikwa na Cha kufanya hamna.Uganda kama hakutatokea civil war sijui... Waganda hawana uvumilivu kama Watz.
Bongo michawi haita isha kina jiwe wengine ndo nyie....Mods hawajaona uandishi huu wa ajabu? Nimeona nikashangaa nikadhani uzi umeandikwa na Mgiriki anayejifunza Kiswahili.
Mods, quality control and assurance ni muhimu sana kwa ajili ya mustakabali wa JF na heshima yake.
Jinga kabisa usitugawe sisi ni wana EA......mbona kwa kikwete walihudhuria wakwere wengi???.......huyu Jokate si Mtusi yule mbona ni mkuu wa wilayabirthday party yake ilihudhuriwa na wa rwanda wengi ?
Jinga kabisaaa ww, Jokate ni mmatengo toka Mbinga.....shwaini kabisaaaaJinga kabisa usitugawe sisi ni wana EA......mbona kwa kikwete walihudhuria wakwere wengi???.......huyu Jokate si Mtusi yule mbona ni mkuu wa wilaya
umedanganywa huko wali hmia tu!!! kuna watusi wengi Kusini has mtwara hiyo si ajabu nayau kabisa!Jinga kabisaaa ww, Jokate ni mmatengo toka Mbinga.....shwaini kabisaaaa
πππππumedanganywa huko wali hmia tu!!! kuna watusi wengi Kusini has mtwara hiyo si ajabu nayau kabisa!