Birthday Gift: Beyonce amnunulia Jay z saa yenye thamani ya zaidi sh billion 6 za kitanzania

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Beyonce amemzawadia zawadi mume wake Jay z,saa yenye thaman ya dolla million 5,ambazo ni sawa na zaidi ya billion 6 za kitanzania kama zawadi ya birthday,pia si mara ya kwanza kwa Beyonce kumsurprise Jayz,
mwaka jana alimzawadia gari aina ya bugatti yenye thamani ya euro million 1.8
saa aliyonunuliwa jayz ni ya almas na ambayo uchukua watu 17 na miezi 14 kubuni kuitengeneza hiyo saa.

uku tz ukimnunulia mke/mme wako zawadi kubwa watu wanapiga majungu





 
Sisi hatuna pesa za FREEMANSON
 
Beyonce and jay Z grew up poor.kwa hiyo let them spend
 
Beyonce and jay Z grew up poor.kwa hiyo let them spend

kwa beyonce hiyo ni pesa kidogo sana,mwaka huu peke yake ameishaingiza euro million 38 hiyo ni kwa mwaka huu tu
 
....?????....

Usishangae..... In Sept 2010, when Beyonce turned 29yrs old.....

Jay-Z, Jiga, alinunua a Private Island, in Florida....

costs $ 20million kama ZAWADI YA BIRTHDAY KWA
BEYONCE

12.5 acres, 2.5 miles off shore ya Florida....

... JIGA IS IN ANOTHER LEVEL...!!!
 
Baada ya muda si mrefu watawafuata akina Evanda,Tyson,MC Hammer,miafirka kwa ulimbukeni hata ikiwa wapi kazi buure
 
Najua kuwa matatizo yetu hayawahusu, ila laiti wangejua kuwa wenzao huku hata maji safi ya kunywa bado ni shida!
 
Najua kuwa matatizo yetu hayawahusu, ila laiti wangejua kuwa wenzao huku hata maji safi ya kunywa bado ni shida!

Waache wajienjoy. hata tungepewa hizo pesa zingeishia uswisi na mifukoni mwa watu binafsi
 
Ngoja watanue Duniani, Hawawezi kuona Pepo.
 
hahahahahah nata bana anafurafisha sana...ukiwa huna anasema ni curse na hawezi kukupa salamu yake, ukiwa nazo na ukaspend anasema u grew up poor....ni kweli walikuwa maskini but nao wanazo tena kushinda alizo nazo nata na ukoo wake wote.....yy dola mia tu alitupiga changa la macho wakati wenzie wananunua saa za bilioni 6 ka mie ninavyonunua cmu za mchina kila leo...............
Kongosho
King'asti
mwaJ
Ciello
Kaunga
waiteni wengine waone hii comment ya mutoto ya fisadi Natalia hakyamungu nimecheka sana
 
mapenzi ni zawadi na naksh naksh kama hizo, sio kutoana sugu tu!! am happy for them!
 
Baada ya muda si mrefu watawafuata akina Evanda,Tyson,MC Hammer,miafirka kwa ulimbukeni hata ikiwa wapi kazi buure

"Hammer went broke so you know I'm more focused/I lost 30 mil' so I spent another 30/ 'Cause unlike Hammer 30 million can't hurt me," ~ Jigga
 
Mwenzenu ka-sign deal na Pepsi ya $50M hiyo $5M kwake siyo tatizo!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…