D
Deleted member 485868
Guest
Jumapili tulivu yenye kaubaridi ka kunyapianyapia...hahahah
Baada ya kusubiri mualiko kwa muda mrefu nakutana na mkausho wa hatariii...hahahaha
Nikaona sio mbaya wacha nijitowe out kidogo ..lol!!
Mara paap!! Shem hazard cfc amenivutia waya (akaninon'goneza) eti lakini iwe siri!!!.[emoji15] [emoji15] ...nitaweza kweli na nilivyo na kiraruraru..hahahaha nimeshindwa kuvumilia bana....
Dada Hajar
Buraza sesten zakazaka
Shoga angu shunie
Kipenzi ukhuty
Mdogo angu demiss
Hata nyinyi pia mnanificha mlipo!!??sasa nasemaje nimeshajikoki nachukua boda nakuja mlipo fastaaaaa!!..