D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #321
Wasione vyaelea wajue vimeundwa banaToa hela babu tantalila nyingiii watu wanataka kulelewa
Hivi kumbe Nina mupenzi...nimeshasauMupenzi wako
Shem lake namuaminia....mwanaume hajakaa kindezindezi anajua kuzisaka haswaaMtake radhi shemeji yetu. Hela anajua kuitafuta bwana. Kuwa na sehemu ya biashara Kariakoo sio jambo dogo etii
Hivi kumbe Nina mupenzi...nimeshasau
HahahaahhaOngeeni tu aweke punani zenu hadharani
Umeona eeenh anakukula ukiangalia sura yake tu umeridhika sasa sura chungu ile chachu inakuwaje jamaniHahahaa...ukiangalia sura tu unaridhika na kamoyo kanapata faraja
HahahahahahaBirthday Gal ulitisha sana!
Shemeji anafaidiii
Mtoto mtam tam!
Nakazia huna hela pambana na hali yako sio kunusisha watu majasho yakoWasione vyaelea wajue vimeundwa bana
Hivi kumbe Nina mupenzi...nimeshasau
HahahahhahahaChefu kabisa yule hivi na msura ule jaman .......anataka kumiliki mtoto show wakati analala kitanda cha bweni.....kile yna4 hakimtoshiii aaaggggrrrrrrr
Andaa popcorn kabisaNa leo tuone machuchu
NakaziaUkiachwa achikaaaaaaaa
PM pamebomokaBesidei gelo naomba kuja pm
Andaa popcorn kabisa
Nakazia
Niwache mieMama PM yangu hujaiona?!
HahahahahaKwahiyo bibie kaleta picha ya google
Nimeamka salama..naona umewahi jamvini Mapemaaa.Kwema bday girl umeamkaje jamani
Ukweli mtupu shoga angu...kutiana shombo inahuu!!Au nimeongea uwongo bday girl
Hahahaha...sio leo tu siku mingiiiUnamkana leo