D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
-
- #61
Hahahahaha..naweza jilinda mwenyewe banaHutaki mpenzio akulinde [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa nini maana ya hiyo kitu ??Naogopa mwenzio
Itulie kwenye kibuyukuidaka ili ifanyeje?
Hahahaha..sasa Fanya kuweka ilo sanduku nikutupiamo kibumunda chakoHaswaaa mkuu me wa mkoani. Najua kipande cha bumunda kitastahimili shida zote hadi kunifikia.
Heshimu Uzi wangu...mabishano yako peleka kuleeSasa nini maana ya hiyo kitu ??
Unajaribu kumtesa mawazo yake au unajaribu kutaka aww vile unavyotaka wee awe??
Nikajua unakumbuka kitu chamaana, kumbe umejaa UNAFIKI NA UNANG'AA .
Ebu kua kiakili.
Aiseee ujue nakumbuka kitu ngoja nikupe link alafu nitakujibu
Ujinga mtupu tuu !!! Vua iko kiatu chako !!Naogopa mwenzio
Hahahahaha..naweza jilinda mwenyewe bana
NashukuruHongera sn
Muache aandike anachojisikia Mimi si ndio nimempa ruhusa??? Achana na mimiUjinga mtupu tuu !!! Vua iko kiatu chako !!
Mada inahusu Birthday yake, Baki ktk topic ,umpongeze, mtakia maishaaa mem,mafanikiooo n.k
Sio unaanza Uswahili uswahili hapa!! ... Alafu unamng'ong'a Rafiki ??
Acha izo !!.
Muache aandike anachojisikia Mimi si ndio nimempa ruhusa??? Achana na mimi
Hahahahaaha ..wanichimba eeh!!!!Hehehehehe kwani leo vp?!
Hahahahaaha ..wanichimba eeh!!!!
Kama unavyoona
Sinaga ujinga wa kurushana roho na wapumbavuKumbe huu uzi wa kurushana roho
Sinaga ujinga wa kurushana roho na wapumbavu
Hahahahaha tena maji yenyewe sio ya bwawaniPenzi limeenda na maji mara hii?!
Rudisha moyo nyuma mama [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha tena maji yenyewe sio ya bwawani
Maji ya baharini
HahaaahhahaaKumbe wakat ule unanikataa kwa nyodo kbs kuwa una wako humu kumbe ndio jamaa...[emoji23][emoji23][emoji15]
Kweli kila shetani na mbuyu wake