Birthday President

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
I didn know uhuru kenyatta was once a teller at KCB bank but

Salimianga watu kwa stage Hujui kama wallet itapotea kwa mat [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
salimiaga (or salimia) na si salimianga! Ni aibu hata KCB wanaandika kiswahili kibovu.

Today is also Hillary Clinton's birthday
 
Kenya hasa watu wanairobi wanaharibu sana kiswahili
 
Happy birthday Mr. President
Kuna sehemu niliona akieleza eti kwamba akiwa mdogo kipindi fulani alipokea viboko kutoka kwa mwalimu shuleni lakini tatizo likawa hawezi mwambia babake maana ndio angepokea zaidi.

Mzee Kenyatta hakuwa mchezo, ukizingua tu unakoswa koswa hata kama wewe mwanaye.

Ndio maana leo hii anajimx na yeyote.
 
salimiaga (or salimia) na si salimianga! Ni aibu hata KCB wanaandika kiswahili kibovu.

Today is also Hillary Clinton's birthday
Enda ukawaelimishe ....naona kiswahili imekuwa important sana ndio maana KCB ni bank ndogo sana EA juu ya kiswahili

Ooooh wait....

Its the size of all Tanzanian banks combined

Kalale [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
ati mnajaribu kuiga [HASHTAG]#sitaki[/HASHTAG] ujinga# catchy phrase!
 
ati mnajaribu kuiga [HASHTAG]#sitaki[/HASHTAG] ujinga# catchy phrase!
every day kuna new catchy phrase kenya.... just change your tailored tweets to geo location of kenya and you will see .... thats why kenya is always trending something in Africa ..... and has 4th most active users in africa .... if that ujinga hashtag (which actually started on whatsaap 2 weeks b4 it was trending on twitter ) really originated from Tz , more kenyans actually tweeted that hashtag than tanzanians.... so eventually we owned that hashtag
 
on a serious note, i tried to turn on tailored trends to read tanzania, my twitter app ili kataa kurecognise. Hivi wabongo wanatumiaga twitter? Sad and true
 
on a serious note, i tried to turn on tailored trends to read tanzania, my twitter app ili kataa kurecognise. Hivi wabongo wanatumiaga twitter? Sad and true

wabongo ni watu wa instagram, they are very superficial and they don't have a reading culture. so twitter, reddit kuna tu a handfull of Tanzanians, mostly lurking, ebu ingia insta utadhani ni wao walitengenezewa, funny people.
 
on a serious note, i tried to turn on tailored trends to read tanzania, my twitter app ili kataa kurecognise. Hivi wabongo wanatumiaga twitter? Sad and true
waTz are not yet recognized by twitter, they have not reached that threshold yet.... ata sijui hao hujua whats trending, everyone has to follow everyone to know whats trending in tz..
 
Nilisikia sehemu kwamba huyu rais wa kenya anaondoka msuba, ni kweli wadau?
 
Nilisikia sehemu kwamba huyu rais wa kenya anaondoka msuba, ni kweli wadau?

Hio ni yake binafsi hayatuhusu ilmradi mambo yanaenda na anatenda kazi ipasavyo. Mbona Obama kuna tetesi hata yeye hupiga msuba kimya kimya na kaitawala Marekani miaka yote hii.
Mnafaa kumshauri mkulu wenu ajaribishe pia, labda ataacha visasi na mikwara na ataanza kuona yote shwari na kucheka cheka....hehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…