Birthday ya diamond demage hoteli ni kiboko

Ulisave kwenye Pc huo uchafu mkuu?
 
Kawaida sanan nothing new there ni hayo mapaja mazee au? sorry mdau
 
ndio maisha ya u-star yalivyo hasa pale ngoma inapowamba sana basi tuiache isikike kwa sauti kubwa tu 😛hoto:
 
muziki wa bongo ni kama hii big g ninayomung'unya hapa sasa hivi. baada ya muda nitaitema mbali. huyu Dogo kawekeza wapi? anajirusha tu na madem wabongo anadhani yeye ni wa kwanza kwao?? tutamuona siku si nyingi. jana tu kuna mwingine ambaye alikuwa akitesa na mwenzake leo naambiwa kakamata anaiba vifaa vidogovidogo vya magari ya watu wakati yule demu wake kakimbia hospitali anakokarabatiwa akili baada ya kuzidiwa na madawa ya kulevya. badala ya kuwasifia hawa wasaidieni kwa kuwashauri. huu kwa mimi ni ulimbukeni. Mwezi uliopita nilikuwa Addis Abbaba na nilifikia kwenye hotel ya Kenenisa Bakel ( pale Bhole, karibu tu na ubalozi wetu) yule mfukuza upepo!! nchi hii mbali na Nyumbani Lounge ( japo JD kakodi jengo) mwingine nani mwenye mawazo ya kesho?? vijana badilikeni. acheni kupeana sifa kwa mambo ya kijinga, ya kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…