Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.
Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo watanzania wengi hawaipati.
http://www.youtube.com/watch?v=FchMuPQOBwA&feature=related
Happy Birthday Mkuu Kichuguu. Have a lovely and enjoyable day with your loved ones and may you live to blow 101 candles. HAPPY BIRTHDAY.
hongera sana!Siku ya kuzaliwa kwangu ni tarehe 27 September. Nilizaliwa miaka mingi ilyopita wakati nchi ikiwa ya kijani sana. Sasa hivi naona uchungu kuwa nchi yote ni ya kahawia.
Hebu nipe salamu za happy birthday na naahidi nitazipokea kwa moyo mkunjufu kwa vile nimeshavuka kiwango cha umri wa mtanzania wa kawaida, yaani ninakula bonasi ambayo watanzania wengi hawaipati.
I have been continuously playing this song in my car for the last 6 days!!
hongera sana!
ninachokifurahia ni kwamba na mimi pia ni birthday yangu.idea ilikuwa kupost the same stuff.lakini kama hivi umeniwahi haina mbaya,naomba tuungane kuiadhimisha siku kama hii!
happy birthday kichuguu+geoff
...................lakini jamii moja au sio!Mshakuwa Twins nyie! lakini wa Baba mbali mbali na Mama mbali mbali ..............
hongera sana!
ninachokifurahia ni kwamba na mimi pia ni birthday yangu.idea ilikuwa kupost the same stuff.lakini kama hivi umeniwahi haina mbaya,naomba tuungane kuiadhimisha siku kama hii!
happy birthday kichuguu+geoff
hahahahah!E bwana Wakuu hongereni sana,dunia yenyewe hii ya sasa yenye magonjwa ya kila aina mna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kuwafikisha huo umri mliofikisha.
Ila aina hii ya mapacha sijui tuiiteje,maana wamezaliwa siku moja na wazazi tofauti,chakushangaza sasa wana umri tofauti.
well,
honestly i am not as old man as kichuguu