Birthday yangu

Nadhani ulimi hauna mfupa
Happy Bday all,msiutamani hata kidogo UFISADI!!!1
 
Congrats an happy belated b'day. inabidi next yera Mungu akituweka hai tutafutane siku hiyo wote tulio bongo au mnasemaje

Kabisa ni wazo zuri kabisa tumwombe mungu atupe uzima next year tujumuike pamoja
 

am so sorry tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi

Amen
 

Pole sana ndugu yangu kwa msiba wa marehemu ndugu yako. Mwaka 1995 nilikuwapo pale chuo kikuu kwa term mbili na niliwahi kushiriki kwenye tutorial mbalimbali za first year. Nikumbushwa vizuri naweza kumkumbuka marehemu dada yako kwa vile wakati huo nadhani alikuwa mwaka wa kwanza, na engineering haikuwa na wasichana wengi.
 
Kichuguu hongera sana na nimefurahi pia kupata mtu ambaye birthday date yake ni sawa na yangu kwani nami pia nimezaliwa 27/09 miaka mingi iliyo pita

Itabidi tupange tukutane pahalapahala ili tujikumbushe twist
 
Ni mimi, mwalimu wa ngumbaru; mapafu yamejaa vumbi la chaki

OKAY MKUU!
hongera kwa fani nzuri
nimeshakuwa mwalimu for a year!shule niliyofundisha nilikuwa MTAALAMU WA PHYSICS!nasikitika tu sikuwah kumeet any goals pamoja na kufundisha fizikia na hesabu vidato vinne.

hahah!sitaki kukumbuka lakin ndo hivyo,tuliishiwa kuheshimika saaana pale kijijini,na kushinda kwenye ulanzi!Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…