naisweet
Member
- Mar 26, 2013
- 47
- 9
BLUE BAND ROBO
VIINI VYA MAYAI VITATU
BAKIN POWDER VIJIKO 2,
ROBO SUKARI
UNGA UTAKISIA
VANILA AU JUICE YA MACHUNGWA
NAMNA YAKUFANYA
Utachukua siag yako utachanganya na sukari utasaga ikiwa tayar imesagika utaeka mayai yako pamoja na vanila au juice upendavyo halafu utaeka unga pamoja na bakin powder utakisia unga kwa kweli mm.nakisia sina kipimo ww ukiona imeshikana unaweza kufanya duara ujue tayar usiwe mgumu utafanya round kati kati utaeka kitobo ueke jam ukimaliza utachoma karibuni wapenzi mpo pamoja nami