Bisha usibishe ndo hivo

Bisha usibishe ndo hivo

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Kama uliwahi kujipaka mate machoni ili uwonekane unalia basi wewe ni muhenga

Kama ulikua ukiosha unaanikwa Juani ili ukauke basi wewe pia ni Muhenga

ndo ivo jamani
 
Kama uliwahi kujipaka mate machoni ili uwonekane unalia basi wewe ni muhenga

Kama ulikua ukiosha unaanikwa Juani ili ukauke basi wewe pia ni Muhenga

ndo ivo jamani
Na kama ulikuwa ukidokoa Mboga utotoni, basi nawe ni Muhenga..
 
Na wewe kama ulikuwa ukinywa chai ya mkono mmoja then uende shule basi nawe ni Muhenga
 
Back
Top Bottom