Bishanga mashaija,Waridi na Aisha wa Mambo hayo!!

MPENDA USAWA

Senior Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
169
Reaction score
29
Jamana hawa watu nimetokea kuwakumbuka leo hii wapo wapi hawa watu aisee nimewamiss sana toka kipindi kile cha mambo hayo itv.....

Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
 
Da kwer jawa kamaa wamepotea sana
 
waridi yupo dar,ameokoka sasa na anasali kawe,kanisa la ufufuo na uzima kwa askofu josephat gwajima.
 
waridi yupo dar,ameokoka sasa na anasali kawe,kanisa la ufufuo na uzima kwa askofu josephat gwajima.

Amechoka sana mpaka leo anaishi kwao sinza kumekucha nyuma ya fine ravelah huwa wasanii wenzie wanampitishia pesa ya soda
 
Aisha alijiendeleza kielemu vizuri tu ila sijui anafanya kazi wapi sasa.Nadhani amesoma course za Business.
 
waridi tulipanda naye daladala la mbagala kama miaka mitano iliyopita na alishika bomba,alikuwa anaona aibu ukimkodolea usoni,sijui kama alikuwa anafanya utafiti kupanda daladala au ndo usafiri wake wa kawaida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…