mara ya mwisho alikua anafanya kazi db shapriya na alikua site foreman wakati wanarekebisha kiwanja cha ndege cha mafia. ila jamaa yupo sana sema kaacha fani yake yuko kwenye payroll ya wahind
Jamaa walifanya vzuri lkn kipindi chao. Ni mojawapo ya waliofungua/paisha tasnia ya uigizaji tz. Mwenye kufahamu walipo na wanachofanya waigizaji wote kundi lile kwa sasa tafadhali amwage hapa tujikumbushe.

Bishanga yuko DSM, mara ya mwisho nilikutana naye pale Tume ya Usuluhishi na Uhamuzi-CMA akiwasaidia wenye mashitaka kujaza fomu za kupelekea mashitaka; kwa ujumla si kumwelewa kama sasa hivi ana fani ya Sheria au la! ila kimuonekano alikuwa yuko poa, kama enzi hizo za mambo hayo akiwa na Rich wa Richie.