Dar ni city nzuri kwa biashara nyingi, Biashara kuwa na faida (profitable) inategemea mambo mengi, la msingi hakikisha gharama zooote(fixed and variable costs) zisizidi, na kwa kweli ziwe chini ya mapato yote(toal income).Location(eneo) ni muhimu katika biashara yako,kwa mfano ukaweke duka lako juu ya mlima kule polini kule sumbawanga, nani atakuja nunua? pia unatakiwa ujue prospective customers, je kabla sijafungua natarajia kupata wateja gani hapa? Kuna mambo mengi siwezi andika yote
uwe mwangalifu vinginevyo utaishia kwenye net Loss-hasara. Ukitaka zaidi tutafutane siyo hapa