S Solidady New Member Joined Sep 3, 2018 Posts 1 Reaction score 1 Jul 14, 2019 #1 Habari wanajamvi. Naomba msaada kwa anaefahamu mashati ya mitumba grade 1 yanapatikana wapi kwa hapa Tanzania. Msaada please
Habari wanajamvi. Naomba msaada kwa anaefahamu mashati ya mitumba grade 1 yanapatikana wapi kwa hapa Tanzania. Msaada please
Kamwene kamwene JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 1,159 Reaction score 2,601 Jul 14, 2019 #2 Wengi huwa wanaagiza balo kutoka kenya. Yakija bongo unayafua vizuri unakagua kama shati lima hitilafu kama upungufu wa vifungo,kuchanika kisha unayanyoosha vizuri.. Kwa mbeya nenda soko la sido
Wengi huwa wanaagiza balo kutoka kenya. Yakija bongo unayafua vizuri unakagua kama shati lima hitilafu kama upungufu wa vifungo,kuchanika kisha unayanyoosha vizuri.. Kwa mbeya nenda soko la sido