Bishara ya Mchele

unknown_man

New Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Nina mpango wa kuanza biashara ya mchele, nina million 30.

Nilikua naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii
.
 
Nina mpango wa kuanza biashara ya mchele, nina million 30, nilikua naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii

Kama uko serious tuwasiliane nianze kukukusanyia mchele. Niko Mwanza jirani na Kisesa (0754533543)
 
Nina mpango wa kuanza biashara ya mchele, nina million 30.

Nilikua naomba ushauri wenu kuhusu biashara hii
.

Umezipata wapi? kweli ww ni muongo,kama ww ni mfanya biashara huwezi shindwa kujua biashara ikoje, huna wafanya biashara wenzako hapo jiran wanaofanya hii?
 
Fanya kwanza upelelezi wa hiyo biashara,usiingie kichwakichwa
 
Hamjui kama siku hizi kuna mali/fedha za kurithi.
 
Umezipata wapi? kweli ww ni muongo,kama ww ni mfanya biashara huwezi shindwa kujua biashara ikoje, huna wafanya biashara wenzako hapo jiran wanaofanya hii?
Elimu haina mwisho hata kama anajua huenda kuna cha zaidi ambacho hajui anaweza akajua au huenda hajui kama hajui
 
Enzi za Nyerere ungesema milioni kumi ni ela ya mboga????
 
Pesa ya mazabezabe hiyo au kauza nyumba ya urithi,tanzania bhana mtu anapata pesa hajui atumieje vitu kama hivi ndio husababisha mfumuko wa bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…