bishara ya mkaa

makolola

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
765
Reaction score
289
Wadau nataka kuanzisha biashara ya mkaa hapa dar, jumla na rejareja.

naombwa kujuzwa sehemu naweza upata kwa jumla kwa bei nafuu hapa dar

au msaada wa mawazo kwa aliyejaribu .

au eneo unapopatikana wa nafuu hata kama ni nje ya mji.
 
Mkuu makolola ukitaka kupata faida nzuri ya biashara hii nakushauri fanya mpango na watu wa porini ili ulete au uje uchukue shehena huku pori.

Ntakupa details zaidi nini cha kufanya....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…