Bishara ya unga wa sembe

Bishara ya unga wa sembe

Rich Forever

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
467
Reaction score
469
Wakuu kwa mwenye uzoefu wa hii biashara nina mahindi yapo mbeya mimi naishi dar es salaam sasa nataka kujaribu kufanya biashara ya kusaga sembe kuleta huku dar kutoa mbeya mzoefu naomb msaada soko lake lipoje au niweza kupata conection na wadau ni sijawahi kufanya ila nataka kufanya ushaur maoni mwongozo wenu ni muhimu

Namba yangu ni 0758556283
 
Back
Top Bottom