BISHARA YA VING'AMUZI VYA AZAM

BISHARA YA VING'AMUZI VYA AZAM

Mayova

Senior Member
Joined
May 10, 2018
Posts
189
Reaction score
132
Jamani nataka kufanya biasha ya kuuza ving'amuzi vya azam je, ni wapi naweza kuvinunua kwa bei ya jumla? Naomba msaada mwenye kujua
 
Wasiliana na azam tv huduma kwa wateja watakupa muongozo vizuri. Au tembelea kurasa zao katika mitandao ya kijamii
 
As
Jamani nataka kufanya biasha ya kuuza ving'amuzi vya azam je, ni wapi naweza kuvinunua kwa bei ya jumla? Naomba msaada mwenye kujua
Asante sana broo
 
Back
Top Bottom