Cheche Mtungi
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 2,619
- 771
===>Liko sehemu moja mkoani tanga (ukitokea muheza kwenda Tanga liko hivyo hivyo)Mkuu najaribu kuimajini ndio unadrive au uko kwenye basi unakutana na hicho kibao,raha sana
Hili jina lina mvuto kuliko Tanzania.
Mungu ibariki Tanganyika,Mungu ibariki Afrika.
Neno hili ni upuuzi kwao wanaopotea..........ati mnatumia damu !??.........kwani nyinyi ni Muumiani ?!
kwa nini hujamuulza kikwete ambaye alienda kuongea naye au alikalia kuchekacheka tu kama anavyofanya na/kwa akina makinda!
Neno hili ni upuuzi kwao wanaopotea...
..........kakobe kapewa taarifa za tanganyika na Bwana, sasa vipi kuhusu ziwa Nyasa.....arahisishe hapo !
Na huyu mtumishi wa MUNGU Kakobe ni hazina ya taifa tuliyopewa na MUNGU.
Asante Mungu kwa kumfufua Lazaro wetu,yaani Tanganyika,waliyemzika kwa miaka 50,kwa visingizio vya kusema ananuka,pale ulipowambia watoe jiwe,jiwe limetoka,tumebaki kufungua sanda na leso tu,halaf awe hai kabsaa kwa uwezo wa Mungu.ameeeni!!
Bonge la ushauri ila haya wameyataka wenye serikali yao maana juzi kati kuna viongozi wa dini wametoa msimamo wa serikali mbili wamepongezwa na kuwa reference kwa wenye huo msimamo, leo ameibuka kiongozi mwingine na mtazamo wa serikali tatu ataonekana kituko simply because yupo against the system. Ipo siku ataibuka kiongozi mwingine wa dini na kusema muungano ufe.Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
Angesema anataka serikali mbili hapo nadhani wangeona poa kabisaSiku hizi hamuwatoi watu kwenye hoja, mambo ya zamani eti siasa na dini ni vitu viwili tofauti? Siasa ni maisha sio taaluma, kama asiposema kakobe mtu mwingine atasema, asiposema mtu yeyote jiwe litasema.
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.