Biswalo Mganga ana shida gani?

Good message
 
Yaani mimi nianze kufundisha watu sheria za Tanzania?Hufuatilii sheria zinazotungwa na bunge lako?!Kwa hiyo wewe ukishachagua mbunge ni umemaliza kazi?View attachment 1783073View attachment 1783074
KWANZA, hujui hata jina la sheria.

Umekopi tu huko mitandaoni na wewe ukapachika tu.

PILI, hujui wala huna maarifa na ujuzi wa kusoma sheria.

Umeona tu ligazeti huko mitandaoni na wewe ukajifanya unaelewa sheria.

TATU, Rais "hajamuondoa" DPP.

Rais amemteua DPP kuwa Jaji.

NNE, hakuna sheria yoyote inayozuia DPP kuteuliwa kuwa Jaji.

Una swali lingine?
 
Umeweka hapa huu uzi wanini wakati hujui kitu?
Wewe ndiye uliyekuja hapa na habari za "kinyume na sheria".

Weka hapa hiyo sheria ili tujue kama kweli DPP ametenda "Kinyume" na hiyo sheria kama unavyodai.

Ninyi wafuasi wa mitandaoni ni BUTU sana.

Kwanza, hiyo sheria yenyewe huijui.

Umekariri tu, ati "Kinyume na sheria".

Weka basi hiyo nakala tuone!

Mfuasi BUTU sana huyu!
 
Unauliza kama nina swali wakati nimekuuliza swali hapo juu na hujajibu!Nimekuuliza Biswalo sasa hivi ni DPP?Halafu nimeweka sheria hapo juu na bado unadai niweke sheria,unajua kusoma?!
 
Kama yule aliemuondoa CAG... wote ni wale wale tu
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
DPP alikuwa anapokea pesa za compensation ya Pre Bargain kwa mamlaka yapi ?
 
Zero wewe, unanipotezea muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…