Biswalo Mganga ana shida gani?

Najaribu kuwaza!!!
Ndugu wachangiaji wa huu mjadala,

Mmejaribu kuwaza ingekua wewe ndio DPP na umepewa nafasi ya ku--Negotiate na fisadi lililo - binywa na lenye mapesa?

Ni wangapi wange negotiate honestly bila kuficha some percentage wakati utaratibu wenyewe ulikua nje ya mifumo ya kisheria. Ingependeza hii loop hole angepewa lile Joka la Makengeza

Mtazamo wangu,
Bisworo alipewa nafasi yenye loop hole pana kwa corruption.
Na kwa hulka ya mwanadamu wengi wetu tunge anguka kwenye majaribu hayo.
 
Kwa hiyo mnalalamikia Biswaro kuondolewa bila kufuata sheria?
 
Ndio maana sisi tunawapuuza tu
 
Dpp hajaondolewa,amepewa cheo cha ujaji na rais anayo hayo mamlaka
 
Kuna post zakipumhavu ukiona tu unajua aliepost ni ubongo uharo. Kama huyu mleta mada. Saskatchewan.
 
Kuna post zakipumhavu ukiona tu unajua aliepost ni ubongo uharo. Kama huyu mleta mada. Saskatchewan.
Mjuaji mwingine huyu hapa. Anaitwa FISI.

Kuandika tu kwenyewe ni mgogoro lakini naye yumo tu anang'ang'ana kujitutumua!
 
Ubarikiwe
 


!
!
Kwa nini hawapeleki mahakamani sasa na anabana dhamana zao?
 
Kwani wewe nani nikuwekee hapa? Tunachoomba ni Tribunal iundwe ndiko tutapeleka
 
DPP alikuwa anapokea pesa za compensation ya Pre Bargain kwa mamlaka yapi ?
Alikuwa anadhulumu tu kwa vile Meko alimtuma. Lakini duniani hakuna Olea bargain inayofanyika nje ya Mahakama.
 
Kwahiyo DPP akishachaguliwa nje na ulichoeleza ni lazima afie kwenye ofisi?,kinachowakondesha ni yeye kupata promo ,kama kazi nzuri kafanya kwanini asipewe promo?
 
Ndiyo maana tunasema hafai kuwa Jaji. Hiyo ni kufuru, mtu aliyeandika mashataka fake na kudhulumu fedha za watu leo hii anakwenda upande wa pili akaziamulie kesi alizowatungia.

Naungana na wadau wanaopendekeza kuwa iundwe Tume ya Kijaji ya kuchunguza mwenendo wake kama ile aliyoundiwa Jaji Mwakibete mwaka 1991
 
Tuambie walikotunza hizo fedha za ziada kuliko kilichoandikwa,kama hujui zilipo wewe ni mpumbavu
 
Ungekuwa na akili timamu ungejiuliza kwanini kati ya majaji 28 ni yeye tu alalamikiwe?
Rahisi sana ,ni eneo nyeti alilokuwepo,aliwashughulikia sawasawa wezi wa mali ya umma na kati ya wezi hao walalamikaji ni wanufaika wa pesa ambayo DPP aliirudisha serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…