Biswalo Mganga ana shida gani?

Kwani amekuwa removed au kapewa majukumu yanayofanana na yenye terms za utumishi zilezile.Aliyempa ajira ndiye aliyempa majukumu hayo.Mbona mwenda zake alimstaafisha Assad kwa conditions hizo hizo zinazofanana?Kusema kweli baadhi ya viongozi kama hawa wamekosa public trust baada ya ile butter trade kufanyika na kuleta sintafahamu kwa wananchi
 
Sasa hivi Biswalo ni DPP?
 
Kwahiyo DPP akishachaguliwa nje na ulichoeleza ni lazima afie kwenye ofisi?,kinachowakondesha ni yeye kupata promo ,kama kazi nzuri kafanya kwanini asipewe promo?
Siyo mimi nimeeleza.Nilichosema ni sheria ambayo ilitungwa kipindi cha Magufuli akiwa hai na sheria hiyo nimeambatanisha kwenye nilichoandika.Zipo sheria nyingi sana za kushangaza sana ambazo zilitungwa wakati wa Magufuli na watu wengi wala hawazijui kwa sababu hawafuatilii yanayoendelea nchini kwao.
 
KWA HIYO
 
UNACHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU
 
Low mind from empty IQ.

Ni uwendawazimu, kuwakamata watu, kuwaweka ndani kwa miaka, kila wakati kueleza kuwa eti uchunguzi haujakamilika. Pumba.vu kabisa DPP - kama hukuwa na ushahidi wowote, kwa nini mlimkamata?

Mtu akiwa tu na hela kubwa, anakamatwa, halafu anawekwa gerezani, ndiyo mashtaka yanaanza kutafutwa. Akija na mashtaka, atamrundikia mtuhumiwa zaidi ya makosa 30, na mojawapo lazima liwe la uhujumu uchumi au utakatishaji fedha haramu,, mwisho wa siku, mtuhumiwa anaambiwa akiri hakulipa kodi stahiki, alipe aliyopangiwa.

Kati ya shetani wakubwa wakati wa awamu ya 5, ni huyo Mganga. Ametesa sana watu, na amedhulumu sana watu. Kuondolewa tu haitoshi, nina hakika kuna siku, adhabu inayomstahili itamfuata. Na sala zetu kwa Mungu wa haki, amtazame huyu mganga, wakala wa ibilisi, auobe uovu wake, na amlipe kwa kadiri ya stahili yake.
 
Ni uwendawazimu, kuwakamata watu, kuwaweka ndani kwa miaka, kila wakati kueleza kuwa eti uchunguzi haujakamilika
Ukiwa muuza ngada utakamatwa muda huo huo bila kusubiri.

Uchunguzi utaendelea wakati tayari tumeshakudhibiti.
 
Mungu wangu! Huyu naye yumo humu JF! Mbona sasa kaja jukwaani akiwa amesahau akili kijiweni alikokuwa? Hata kama mmetoka wote kanda ya ziwa, kanda ya mwendazake basi mje na akili JF.
 
Hata yeye amewahi kusema hadharani kwamba anauwezo wa kumpa kesi mtu yoyote na asifanywe kitu
Si ndiye huyu aliyesema waziwazi kwamba anamtafutia kesi Lema baada ya Lema kulalamika kuuawa kwa wafuasi na viongozi wa Chadema kule Singida?
 
Huyu jamaa wakati wote alijiona ni MUNGU mtu. Alitumia ofisi yake na madaraka yake kutisha watu. Aliwahi kumwambia Lema kuwa anamtafutia kesi isiyo na dhamana.
 
Hivi maana ya dhuluma inayotumika hapa ndo wote tunaelewa hapa?!!

Mfano jambazi likaiba pesa, halafu polisi akalikamata.
Akaliambia lete pesa uliyoiba,
Jambazi likatii, kisha polisi huyu asiye mwaminifu akachukua robo ya pesa hizo na kisha iliyobaki akamrudishia aliyeibiwa. Na jambazi likaachiwa huru

Je, hapa jambazi hili litakua limedhulumiwa??!

Acheni utani. Hakuna dhuluma yeyote.
 
Jibu swali we mbwiga. Ameondolewa ofisini au ameteuliwa kuwq jaji? Weka kifungu kinachomzuia kuteuliwa kuwa jaji.
Kuondolewa ofisini na kuteuliwa kuwa judge ni vitu viwili tofauti na havihusiani kabisa.
Kutokufanya kazi kama DPP ndiyo kuondolewa ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…