Biswalo Mganga ana shida gani?

Kukubali kutekeleza jambo la Kijinga basi wewe ni Mjinga zaidi.....
 
Wengi wao ni vilaza na wapigaji na ndugu zao wkiongozwa na #LEMA aliyekimbilia Canada kwa kujitisha mwenyewe!
 
Hujiulizi kwa nini umma wa wenye kuweza kupambanua na kuhoji kati ya majaji 21 walioteuliwa hakuna anaelalamikiwa ila mmoja tu?
Huyu atakuwa kwa hakika ni mwovu maana ndie pekee doa katika wale 21 na uteuzi wote kwa ujumla.
Nami naungana na wapenda haki wote kumlaani biswalo kwa jina la JMT.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Acha kuongea ujnga na kufikiri wote hawana akii.
Ni mtu ambaye hamnazo tu ataamini kuwa kazi ya DPP ndiyo kazi ngumu kuliko zote katika fan ya sheria.
Ofisi ya DPP ikubali tu kuwa they are inept, corrupt and lazy.

Kesi inapodumu mahakamani na kuchukua miaka minne au zaidi hicho ni kielelezo cha kushindwa kwa Idara hii ya DPP kuwa na weledi unaotazamiwa.

Mtindo wa kuendeleza corruption , ati "Plea Bargaining" na hilo genge la watu wanne ndani ofisi ya DPP, ndicho haswa kiini cha kudhihirisha kuwa ofisi hii ya DP ni makao makuu ya corrupt practices.
 
Wewe mpuuzi usiyejitambua sijui umezuka kutoka wapi/sayari gani. Mosi sijawahi nchi mtu anakamatwa mhujumu uchumi halafu anaambiwa afanye negitiation na DPP alipe kiasi fulani ili aachiwe huru. Pili, waliokamatwa na uhujumu uchumi, mathalan Rugemalila na Seth Sing kila leo upepelezi haujaisha miaka 5 sasa. Lakini wakati huo huo wanaambiwa wanegotiate na DPP ili watoe kiasi fulani ili waachiwe huru. Hii haiji akilini kwa mtu yeyote mwenye kutumia ubongo wake kufikiri, labda anayetumia kiungo kingine kufikiri.
 
Una hakika na mawazo na hijab zaki hizo,ukifuatilia vizuri kesi nyingi za hovyo zimeelekezwa kwa wanasiasa ,wakosoaji wa awamu ile wanaharakati wa utetezi wa haki,taasisi zilizopingana na yaliyokuwa yakifanywa kwa uonevu.Unabisha unayoiitaa jamhuri ya JF,facebook na twitter itashuhudia haya.
 
pole sana Biswalo mganga. malipo ni hapa hapa duniani, na bado!
 
Ameondolewa sieigi itakuwa dipipi. Kwani Feleshi si naye aliondolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…