Bitclub advantage

Bitclub advantage

ibanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
652
Reaction score
1,076
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usijalibu unless uwe umezoea kutake risk kama sisi otherwise utakuja kunikumbuka
 
Nimecheza sana amazon, D9! Ila kwa sasa nimeacha biashara hii ni nzur kwa sababu watu wa mwazo huwa wanalipwa na wanaoingia so ni rahisi kurudisha hela kama utakuwa mtu wa networking ila rem lazima watu waliwe mwisho wa siku na inategemea ipo hatua gani! Tatizo binadamu tuna tamaa mtu akipata anafungua acc zaid na zaid so ikifa unakuwa umelose!
 
Asante mkuu
 
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app

Mkuu usiogope, mimi nimejoin, watu wanapiga pesa kweli, nitafute nikupe somo ibanga
 
Ipo group naweza kukuunga huko utapata kila inachotaka kujua kutoka kwa watu waliomo, then utajipimia mwenyewe
Haya mimi niko interested na hii kitu. Naomba uniunge tafadhali kama unaridhia nikupe namba ya Whatsapp
 
D9 watu wamelia walisema mmiliki yupo huko huko brazil hawa jamaa at the end wanaliza watu.Mi NINA SLOGAN YANGU KUWA HELA BILA JASHO NI YA KUIGOPA COZ HUWA NI CHAMBO
 
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Makao makuu Brazil ila participants wengi wako Vietnam[emoji15] [emoji15] chanuka
 
Back
Top Bottom