Mkuu ushawajaribu?Mkuu usijalibu unless uwe umezoea kutake risk kama sisi otherwise utakuja kunikumbuka
Nimecheza sana amazon, D9! Ila kwa sasa nimeacha biashara hii ni nzur kwa sababu watu wa mwazo huwa wanalipwa na wanaoingia so ni rahisi kurudisha hela kama utakuwa mtu wa networking ila rem lazima watu waliwe mwisho wa siku na inategemea ipo hatua gani! Tatizo binadamu tuna tamaa mtu akipata anafungua acc zaid na zaid so ikifa unakuwa umelose!
Asante mkuuUkijiunga ujiande kurisk lolote linaweza kutokea
Kwa advance yangu usiwekeze kwa sasa haina miezi mi 3 mbele itakufa Ni poze schame kama D9
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Nafatilia
ni rahis ukiwa kwenye hiyo group maana huku kuna maswali na majibu yote kuhusu kitu hiitujuzeni wakuu
Haya mimi niko interested na hii kitu. Naomba uniunge tafadhali kama unaridhia nikupe namba ya WhatsappIpo group naweza kukuunga huko utapata kila inachotaka kujua kutoka kwa watu waliomo, then utajipimia mwenyewe
nitumie namba mkuu, hongera kwa kuthubutu, tuma nambaHaya mimi niko interested na hii kitu. Naomba uniunge tafadhali kama unaridhia nikupe namba ya Whatsapp
0754275644nitumie namba mkuu, hongera kwa kuthubutu, tuma namba
Makao makuu Brazil ila participants wengi wako Vietnam[emoji15] [emoji15] chanukaRehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Haya mimi niko interested na hii kitu. Naomba uniunge tafadhali kama unaridhia nikupe namba ya Whatsapp
0754275644
Asante sana bro. Utanipa namba yako kwenye Whatsapp yangu ili unielekeze vitu kadhaa kabla ya kujiunganimeona thanks