Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ulipotelea wapi tajiri usiyekua na baya!Nasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.
Nina budget ya 5 million USD.
Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K.
Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya.
Njozi za ushindi!
nani kakupa ushauri kwamba ikishuka 50k basi ina uwezo wa kurudi juuNasubiria kwa hamu sana Bitcoin ishuke hadi 50K USD ninunue za kutosha kama Bitcoin 200 hivi.
Nina budget ya 5 million USD.
Naombeni ushauri ninunue sasa hivi 73k ama nisubiri ishuke hadi 50K.
Narudi kulala hope nikiamka asubuhi nitapata ushauri wenu nijue la kufanya.
Njozi za ushindi!
Kobaz hii ndo lugha gani tena?Kasaloo Kyanga na Kyanga Songa