Bitcoin leo imeruka balaa

FOdd

Senior Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
127
Reaction score
173
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
 
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
Ndio nn
 
Kuna mmoja alikuwa anauza juzi hapa
 
Naona mnajaribu kutuvuta mtuingize mkenge sisi tunatumia hizi hizi shilingi.
Boss hakuna anaekuvuta asee life is urs even decision is ur own too, Mimi nimewakumbusha tu wale ambao Wallet ya BTC inasoma wafanye exchange mana hela imeruka balaa
 
Kwani mkuu, ikiruka juu baada ya hapo huwa inatua au inaendelea kuruka tu juu zaidi na zaidi na hairudi chini...?
Huwa ina oscillate boss inaruka na kushuka
 
When u buy bitcoin you profit from money made out of money laundering, ponography, drugs and all other kind of crimes...
 
Asee hii Pesa inazidi kusogea juu iko 12,760,000 kwa 1 BTC muda huu kutokea Milioni Tisa, Wale wenye nazo its ur time to get profit by exchange it to local paper money.
Usisahau pia kesho inaweza shuka mil 7 liseme na hili

the currency is not stable ....it is fluctuating
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…