Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Ndio maana Nyerere alikataa makabila makubwa kushika nafasi ya Urais, kuanza kutuimbia vilugha na kubaguana tu!
=====
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wa Geita kujitokeza wa wingi kesho na kuchagua wagombea wa CCM.
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Amewahimiza wananchi hao kuendelea kumuunga mkono yeye na CCM ili kutoa fursa ya kuendeleza jitihada za maendeleo “Nimekuja hapa kuwaambia msiniangushe wala kuiangusha CCM kwa kuwa miradi na juhudi zote zinazoendelea zinalenga kuleta maendeleo kwenu,”
Kujiimbisha tu hapo na wananchi kisukuma kuwadanganya tu, wakishinda uchaguzi huwaoni.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Novemba 26, 2024 wakati akifunga Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mkoa wa Geita zilizofanyika katika Uwanja wa Mwenge, Uyovu, wilayani Bukombe.
PIA SOMA
- LGE2024 - Dotto Biteko: Jitokezeni kupiga kura ili "kumlipa" Samia kwa upendo kufuatia miradi mbalimbali ya maendeleo

Your browser is not able to display this video.