Si amekuambia "karibu tena". Maana yake ulishawahi kuwa hapa kabla.Ahsante mkuu
Ila mimi sio mgeni
Sema tu ulinyang'anywa simu na dadaHabari zenu wakuu ?
Kitambo sana sikuwepo jukwaani kutokana na sababu iliyokuwa nje ya uwezo wangu.
Hivyo wale washikaji zangu mliokuwa mkinitafuta au huwa na hofu juu ya kutoonekana kwangu niwaambie tu mimi ni mzima kabisa na sikupatwa na baya lolote.
Ahsanteni
AhsanteSi amekuambia "karibu tena". Maana yake ulishawahi kuwa hapa kabla.
Bagia na togwa !!!
Ole anakusalimiaHabari zenu wakuu ?