BITTER KOLA NUTS: Meek Mill amepona maradhi ya tumbo baada ya kutumia Bitter Kola nuts

BITTER KOLA NUTS: Meek Mill amepona maradhi ya tumbo baada ya kutumia Bitter Kola nuts

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Kwenye account yake ya Twitter, Meek Mill ameandika kuwa amepona maradhi ya tumbo yaliyokuwa yakimtesa kwa kipindi kirefu (miaka miwili) mara baada ya kutumia dawa za asili kutoka Afrika "bitter Kola nuts", Meek Mill anasema amezunguka kwa madaktari wengi lakini walishindwa kutibu maradhi yake.

Screenshot_20210923-062721.png
Screenshot_20210923-062749.png


Bitter Kola nuts zinapatikana wapi hapa Tanzania?
Maradhi ya tumbo yananitesa kwa muda mrefu sasa, labda hii kitu inaweza nisaidia.

Screenshot_20210923-062826.png
 
Back
Top Bottom