Bittersweet situation baada ya kuachana

Mr Discount

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
83
Reaction score
105
Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23]

Imeshawahi kukutokea situation kama hii (bittersweet situation)?


 
4 years together dah, zile memories hazijawah jirudia kwa kenge yyte yule. nilijua tunaoana mbwa yule mpaka alivyoanza umalaya dah.
Sema nn tunasemaga haikupangwa ati.
Heee πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ pole utampata mwingine
 
Tunaachana ili tupate mwingine aliye bora zaidi...

Ishu ni pale unapomtosa 'demu' kisu halafu unakuja angukia kwa kipori...

---excuse my language---
[emoji23][emoji23][emoji23] atari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…