Bizman yupo wapi siku hizi?

nafurahishwa na utendaji kazi wa huyu bwana
 
Kibanda cha simu wa Soggy Doggy Ngaiza umetengenezwa Bongo Records na Producer ni P Funk Majani. Sina uhakika kama Bizzman alihusika.
 
moja kati ya wapiga vinanda wazuri sana tz,maproducer wengi sana wamemtumia kama master jay,mika mwamba,p fank na wengineo.
 
Yale yale ya kuchanganya producer na insrumentalists. Mtu akipiga chombo kwenye wimbo haimaanishi kuwa ni producer. Bizman ni mzuri sana kwa vinanda au kitaalamu "strings" na producers kibao huwa wanamtumia. Yeye anapewa concept na producer kisha anafanya vitu vyake.
 
Kibanda cha simu wa Soggy Doggy Ngaiza umetengenezwa Bongo Records na Producer ni P Funk Majani. Sina uhakika kama Bizzman alihusika.

Ni bongo records kweli.. kuna kipindi bizman na soggy mwenyewe walikua wanamsaidia pfunky pale bongo records!!. Ila naona walishindwana wakaondoka
 
Nimezungumzia nyimbo ya nitoke vipi ambayo bwana misosi awali alirekodi kwa mika mwamba akiwashirikisha mandojo na domokaya lkn haikutoka alivyotaka ndipo bizman akashiriki kuitengeneza na chorus kuimbwa na hard mad mwishowe ikatoka ilivyotoka ..mi sio mtaalam wa muziki na tukianza kubishana producer ni nani na vocalist ni ninani mjomba utanishinda!!
 
Ni kweli jamaa ni very talented.
 
Ok, poa Mkuu.
 
Mkuu bizman yupo mbonw? Daily mi namuona mbona? Jamaa hajapigika kama wengi wanavodai sema huwa anapenda kuishi maisha ya kawaida.ana gari ila haitumii.nadhani anataka kupunguza mwili na ndio maana anatembea kwa mguu.ila jamaa yupo na ni very social
 
poa man
 
Mara ya mwisho nilimuona 77 na Kina Mjomba Band na ni mtu wa Acrobatic huyu Jamaa Bize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…