Black and White

Black and White

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Posts
9,613
Reaction score
7,889
A little boy, at a wedding looks at his mom and says, "Mommy, why does the girl wear white?"

His mom replies, "The bride is in white because she's happy and this is the happiest day of her life."

The boy thinks about this, and then says, "Well then, why is the boy wearing black?"
 
Mkuu hapa mama alijibu nini?
 
Ukapera ni mtamu sana. Hebu kumbuka ulivyokuwa unatembea na nyumba yako mfukoni unarudi nyumbani wakati wowote hata kama ni asubuhi. Siku za kwanza baada ya honey moon mzee unajitahidi kama ofisi na nyumbani siyo mbali saa 11 umeshatinga nyumbani na madoido hallow D. Baada ya kujifungua mtoto wa kwanza unaanza kuchelewa kidogo. Mtoto wa pili unaanza kurudi saa 3. Hapo ndo kimbembe kinaanza. Utasikia hivi hii tabia ya kurudi usiku hivi umeitoa wapi? Hii ndo sababu watu wanasikitika sana kuuacha ukapera. Vijana wasiogope kwani kuna wakati utafika mkisha funga kuzaa mnakuwa kama mlivyokuwa mnachumbiana hata ukirudi saa 5 unapewa pole bila ulizo lolote na huduma zote bila kelele wala mikwaruzo. Kaza buti Mura urikamate rimanamke ra kuishi naro mapema iwezekanavyo.
 
That means, you loose your bachelor degree for a new title.
 
Back
Top Bottom