Black Dahlia: Kifo cha kikatili zaidi kuwahi kutokea katika nchi ya Marekani

Ipo [HASHTAG]#ngapi[/HASHTAG]? Mkuu mi siioni
 
Mkuu fanya research kabla hujaandika thread esp kwenye jukwaa hili. Huyo aliyemdhania Zodiac Killer kuwa muuaji wa Black Dahlia ni nani? BDs body was found on 15th Jan 1947. Na ZK was operating from 1960s to the early 1970s. So utakua na kazi ya ziada kutuaminisha vitu tofauti.
 
uko sahihi sana ukipata kuusoma uzi ambao nimemalizia nahisi utakua na majibu zaidi
 
uko sahihi sana ukipata kuusoma uzi ambao nimemalizia nahisi utakua na majibu zaidi
Kwa hiyo kuchanganya vitu visivyohusiana ndio M.O ya uandishi wako? Sikuona sababu ya kumuingiza ZK kama suspected unsub. Hakuna sehemu yeyote Feds au media walidhani hivyo na ZK hakufahamika kabisa among SKs of 1947.
 
Well,.approach yako ya uandishi ni nzuri na nimependa zaidi ulipoandika "Misele",mara nyingine maneno kama haya huwa yanatengwa ktk visa/simulizi za aina hii,ningependa kuona utumizi wa maneno kama haya(Rejesta,na semi mbalimbali za mtaani zinavyoweza kuleta mguso ktk fasihi andishi),endelea kujinoa zaiDi
 
Kukatwa sehemu ya kiuno tu ndio mauaji ya kikatiri Zaid kuwah kutokea marekani?mbona umeongeza chumv mno aisee
 
Ni Upelelezi na sio Upererezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…