Sijawah waza km kuna epo la rangi hiyo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Black Diamond Apples from Tibet
The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the region's high altitude of over 3,500 m.
View attachment 2036218
Wanatuambiaga maepo yetu ni yale madogo ya kisambaa haya makubwa ni mbegu ya njeBibi yangu alinihadithia wakati wa Ukoloni, Wakoloni walipanda mazao na matunda mengi mageni. Walikua wakipata ajira shambani kwa Mzungu wanaiba mbegu.
Sijawah kutana nayo hayo ya kichinaKuna Chinese Apples ni kubwa na zina maji mengi, kama una kiu ukila moja tu kiu ina kata. Lakini hayana sukari kama haya ya kwetu.
Amahakika matendo ya Mungu ni makuu sana lisilo wezekana kwa mwanadamu kwa Mungu linatendeka.Black Diamond Apples from Tibet