Black magic with a full powerful prowess inachaguliwa kwa wachache

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi zao hazikuachana na giza, roho zao hazikuachana na hila, mioyo yao haikuachana na kisasi.
20241220_172003.jpg

Siku hio ilifika na wakaamua wampindue alie juu zaidi yao. Siku hio alivyowashinda akuwapoteza wote ila alifanikiwa kuwasambaratisha. Aliwaachilia wakiwa wamebaki na maarifa yote. Wala hawako duniani, Wala hawako mbiguni, wako hapo, wako kila kona, pembeni yako hata kama ukiamua kuhamia kwenda mars .They are in the universe, they listen, they see.
20241220_172131.jpg

So are we connected to them? Kwanini nabii Ezekiel afutiwe kitabu chake akijaribu kuwafunza wanadamu kuhusu viumbe hawa. Was Ezekiel stupid? No., so why call his book controversial,? okey, hii ndio siri sasa nakuambia, wame ban kitabu ili kiwe access kwa wao na wachache watakao wachagua ili kiwafaidishe ila sisi tuliobaki majority tuendelee kujifunza kuendana na wanavyotaka wao.
20241220_172856.jpg

Ndio maana black magic inarithishwa kwa vizazi na vizazi kwa aina ya watu ambao wale viumbe watakaowataka ili wawapatie sehemu ya nguvu zao katika ngazi tofauti.

Bwana hawa waliwafikia mababu zenu walipowahitaji, na kuwafanyia makubwa ambayo hadi leo tunajiuliza ilikuwa kuwaje ila hawakuaacha bure, walilipa na nafsi zao, walilipa na vizazi vyao ndio maana mkataba wa babu unaweza tesa kizazai chake kwa miaka mingi na maagano ya babu yanaweza kuwanufaisha kwa miaka mingi ila katika consquences za mabwana hawa.

Kuna jamaa mmoja aliwahi niambia kuwa yeye akienda mahali ambako huwa kuna negative evil energy huwa anahangaika usiku kucha na pia mara nyingine kuona maumbo ya wafanyayo hayo mambo. Tuliongea sana na nikamuuliza kama kwenye familia yake kama kuliwahi kuwa na mtu wa kiroho akaniambia kwa upande wa mama zake kuna babu yake alikuwaga mganga. Ewaa, kwa hio sasa unaona ni namna gani presence ya nguvu ya black magic inaweza tembea kwenye damu kwa maana mababu na mababu waliweka chapa ya fallen angels nafsini mwao.
20241220_183425.jpg
Kwa hio jirani yako hatumii uchawi wa kuhangaika kwenda Tanga au Bariadi labda eti ndio maana anauza zaidi yako, ila nafsi yake inachapa ya mnyama yule na nafsi yake inasikiaga sauti ya hamasa namna ya kufanya na kipi cha kutokifanya na kikubwa zaidi ni kutomjusujudia waliotaka kumpindua wazi wazi.

Viumbe hawa wanahakikisha kumuweka jamaa huyu pembeni ya mwenye tabu na malalamiko ili apate hamasa ya kwenda kwa mganga, astrologist, mitume waongo, etc wapate nafsi yake, wajisifu kwa kufatwa ili kutatua tabu zake ili wamuoneshe waliotaka kumpindua kuwa ustadi wao ndio pendwa kuliko wake.
20241220_173949.jpg

Miuijiza unayoiona kwa mashehe watumia majini ni kweli. Miujiza unayoiona kwa mapasta feki ni kweli. Kwa maana wamerithishwa codes namna ya kufanya ili ku-amplify nguvu ya miujiza kwa uwezo wa wanyama hawa. Wanawezaje? Wanapataje nguvu na connection hizi ?

Ni mlolongo mrefu wa kuwa chosen na viumbe hawa. Wala Hawakutani nao moja kwa moja ila wana chapa hio nafsini mwao basi husikiaga sauti za hamasa na maelekezo ya wapi pa kwenda na nini cha kufanya ili wawe na nguvu hizi. Chapa hizi ndio zile nilizokuambia kuwa zipo damuni kutokana na mababu zao huko mwanzo kujiungamana nao.
20241220_175829.jpg

Wazungu wana claim kuwa yale mauaji ya mababu zao waliyoyafanya juu ya wachawi kuwa yalikuwa ni utapeli na sio-haki kwa maana wengi waliuliwa bila hatia. Lakini kwa wajanja tunaelewa kwa nini wanasema haya. Wanasema hivi ili wasiwapatie promo wachawi ili tena generation mpya isije ilkajiingiza katika masuala ya uchawi kwa sababu wanazozijua wao.

Uchawi upo katika degree na level nyingi sana pia ikitegemea asili ya mwanadamu. Ndio maana gamboshi wanaluka na ungo ila mzungu alikuwa analuka na mfagio.
20241220_181359.jpg

Black magic with a full powerful prowess inachaguliwa kwa wachache sana. Hata hawa waganga na wasoma visomo, wataalamu , watalaamu wa nyota wengi mlionao ni wale wa kufundishwa na babu zao tricks na sio full prowess, ila wale walio na chapa ndani yao ni wachache sana, hawajitangazi na wala hawezi kukuhudumia hata umpe milioni 50 hataki kwa maana utajiri wake ni wa kiroho sio vya dunia, so hadi nafsi imuelekeze. Na hata akikuhudumia anaweza kukuambia hataki chochote chako kwa maana anajua tayari nafsi yako imeshalipa juu kwa juu.

Hawa ndio wale waliota mvua, waliofanya miti isikatwe ili bara bara ipite, kaburi lake kutoharibia ili ujenzi wa ufanyike.

SOMA PIA:
 
Attachments

  • 20241220_182603.jpg
    20241220_182603.jpg
    137.4 KB · Views: 2
Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi zao hazikuachana na giza, roho zao hazikuachana na hila, mioyo yao haikuachana na kisasi.
View attachment 3180970

Siku hio ilifika na wakaamua wampindue alie juu zaidi yao. Siku hio alivyowashinda akuwapoteza wote ila alifanikiwa kuwasambaratisha. Aliwaachilia wakiwa wamebaki na maarifa yote. Wala hawako duniani, Wala hawako mbiguni, wako hapo, wako kila kona, pembeni yako hata kama ukiamua kuhamia kwenda mars .They are in the universe, they listen, they see.
View attachment 3180971

So are we connected to them? Kwanini nabii Ezekiel afutiwe kitabu chake akijaribu kuwafunza wanadamu kuhusu viumbe hawa. Was Ezekiel stupid? No., so why call his book controversial,? okey, hii ndio siri sasa nakuambia, wame ban kitabu ili kiwe access kwa wao na wachache watakao wachagua ili kiwafaidishe ila sisi tuliobaki majority tuendelee kujifunza kuendana na wanavyotaka wao.
View attachment 3180973

Ndio maana black magic inarithishwa kwa vizazi na vizazi kwa aina ya watu ambao wale viumbe watakaowataka ili wawapatie sehemu ya nguvu zao katika ngazi tofauti.

Bwana hawa waliwafikia mababu zenu walipowahitaji, na kuwafanyia makubwa ambayo hadi leo tunajiuliza ilikuwa kuwaje ila hawakuaacha bure, walilipa na nafsi zao, walilipa na vizazi vyao ndio maana mkataba wa babu unaweza tesa kizazai chake kwa miaka mingi na maagano ya babu yanaweza kuwanufaisha kwa miaka mingi ila katika consquences za mabwana hawa.

Kuna jamaa mmoja aliwahi niambia kuwa yeye akienda mahali ambako huwa kuna negative evil energy huwa anahangaika usiku kucha na pia mara nyingine kuona maumbo ya wafanyayo hayo mambo. Tuliongea sana na nikamuuliza kama kwenye familia yake kama kuliwahi kuwa na mtu wa kiroho akaniambia kwa upande wa mama zake kuna babu yake alikuwaga mganga. Ewaa, kwa hio sasa unaona ni namna gani presence ya nguvu ya black magic inaweza tembea kwenye damu kwa maana mababu na mababu waliweka chapa ya fallen angels nafsini mwao.
View attachment 3181016
Kwa hio jirani yako hatumii uchawi wa kuhangaika kwenda Tanga au Bariadi labda eti ndio maana anauza zaidi yako, ila nafsi yake inachapa ya mnyama yule na nafsi yake inasikiaga sauti ya hamasa namna ya kufanya na kipi cha kutokifanya na kikubwa zaidi ni kutomjusujudia waliotaka kumpindua wazi wazi.

Viumbe hawa wanahakikisha kumuweka jamaa huyu pembeni ya mwenye tabu na malalamiko ili apate hamasa ya kwenda kwa mganga, astrologist, mitume waongo, etc wapate nafsi yake, wajisifu kwa kufatwa ili kutatua tabu zake ili wamuoneshe waliotaka kumpindua kuwa ustadi wao ndio pendwa kuliko wake.
View attachment 3180978

Miuijiza unayoiona kwa mashehe watumia majini ni kweli. Miujiza unayoiona kwa mapasta feki ni kweli. Kwa maana wamerithishwa codes namna ya kufanya ili ku-amplify nguvu ya miujiza kwa uwezo wa wanyama hawa. Wanawezaje? Wanapataje nguvu na connection hizi ? Ni mlolongo mrefu wa kuwa chosen na viumbe hawa. Wala Hawakutani nao moja kwa moja ila wana chapa hio nafsini mwao basi husikiaga sauti za hamasa na maelekezo ya wapi pa kwenda na nini cha kufanya ili wawe na nguvu hizi. Chapa hizi ndio zile nilizokuambia kuwa zipo damuni kutokana na mababu zao huko mwanzo kujiungamana nao.
View attachment 3180986

Wazungu wana claim kuwa yale mauaji ya mababu zao waliyoyafanya juu ya wachawi kuwa yalikuwa ni utapeli na sio-haki kwa maana wengi waliuliwa bila hatia. Lakini kwa wajanja tunaelewa kwa nini wanasema haya. Wanasema hivi ili wasiwapatie promo wachawi ili tena generation mpya isije ilkajiingiza katika masuala ya uchawi kwa sababu wanazozijua wao.

Uchawi upo katika degree na level nyingi sana pia ikitegemea asili ya mwanadamu. Ndio maana gamboshi wanaluka na ungo ila mzungu alikuwa analuka na mfagio.
View attachment 3181000

Black magic with a full powerful prowess inachaguliwa kwa wachache sana. Hata hawa waganga na wasoma visomo, wataalamu , watalaamu wa nyota wengi mlionao ni wale wa kufundishwa na babu zao tricks na sio full prowess, ila wale walio na chapa ndani yao ni wachache sana, hawajitangazi na wala hawezi kukuhudumia hata umpe milioni 50 hataki kwa maana utajiri wake ni wa kiroho sio vya dunia, so hadi nafsi imuelekeze. Na hata akikuhudumia anaweza kukuambia hataki chochote chako kwa maana anajua tayari nafsi yako imeshalipa juu kwa juu.

Hawa ndio wale waliota mvua, waliofanya miti isikatwe ili bara bara ipite, kaburi lake kutoharibia ili ujenzi wa ufanyike.
Haya maarifa yote umeyaoata kwenye kitabu gani mkuu
 
acha izo stori za kufikirika bwana mdogo
 
Sina codes zozote ila nilienda sehemu yoyote yenye negative energy usiku Huwa silali vizuri,kimsingi .mimi ni mtu wa kuomba tuu
 
Ikiwa MTU amekaukiwa katika bank yake pia hawezi kutoa hela yoyote.

👇🏾
Kukosa nguvu na kupata nguvu inatokana bank yako.

Spirituality watu wanahangaika Kwa waganga Ila hawapo tayari kuutafuta ukweli kuwa ubaya unaowatokea waliupanda wao au wazazi wao.
 
💯
 
Dini zimetufanya tusimjue Mungu wa Kweli na nguvu zake, huwezi amin jambo hili!
Wale malaika wakuitwa waovu, wenye vipaji vingi na tofauti. Wale viumbe waliokuwa takatifu, wenye talanta na ustadi. Walijawa siri na funguo za codes nyingi, walijawa maarifa na miujiza, ila nafsi zao hazikuachana na giza, roho zao hazikuachana na hila, mioyo yao haikuachana na kisasi.

Siku hio ilifika na wakaamua wampindue alie juu zaidi yao. Siku hio alivyowashinda akuwapoteza wote ila alifanikiwa kuwasambaratisha. Aliwaachilia wakiwa wamebaki na maarifa yote. Wala hawako duniani, Wala hawako mbiguni, wako hapo, wako kila kona, pembeni yako hata kama ukiamua kuhamia kwenda mars .They are in the universe, they listen, they see.

So are we connected to them? Kwanini nabii Ezekiel afutiwe kitabu chake akijaribu kuwafunza wanadamu kuhusu viumbe hawa. Was Ezekiel stupid? No., so why call his book controversial,? okey, hii ndio siri sasa nakuambia, wame ban kitabu ili kiwe access kwa wao na wachache watakao wachagua ili kiwafaidishe ila sisi tuliobaki majority tuendelee kujifunza kuendana na wanavyotaka wao.

Ndio maana black magic inarithishwa kwa vizazi na vizazi kwa aina ya watu ambao wale viumbe watakaowataka ili wawapatie sehemu ya nguvu zao katika ngazi tofauti.

Bwana hawa waliwafikia mababu zenu walipowahitaji, na kuwafanyia makubwa ambayo hadi leo tunajiuliza ilikuwa kuwaje ila hawakuaacha bure, walilipa na nafsi zao, walilipa na vizazi vyao ndio maana mkataba wa babu unaweza tesa kizazai chake kwa miaka mingi na maagano ya babu yanaweza kuwanufaisha kwa miaka mingi ila katika consquences za mabwana hawa.

Kuna jamaa mmoja aliwahi niambia kuwa yeye akienda mahali ambako huwa kuna negative evil energy huwa anahangaika usiku kucha na pia mara nyingine kuona maumbo ya wafanyayo hayo mambo. Tuliongea sana na nikamuuliza kama kwenye familia yake kama kuliwahi kuwa na mtu wa kiroho akaniambia kwa upande wa mama zake kuna babu yake alikuwaga mganga. Ewaa, kwa hio sasa unaona ni namna gani presence ya nguvu ya black magic inaweza tembea kwenye damu kwa maana mababu na mababu waliweka chapa ya fallen angels nafsini mwao.
Kwa hio jirani yako hatumii uchawi wa kuhangaika kwenda Tanga au Bariadi labda eti ndio maana anauza zaidi yako, ila nafsi yake inachapa ya mnyama yule na nafsi yake inasikiaga sauti ya hamasa namna ya kufanya na kipi cha kutokifanya na kikubwa zaidi ni kutomjusujudia waliotaka kumpindua wazi wazi.

Viumbe hawa wanahakikisha kumuweka jamaa huyu pembeni ya mwenye tabu na malalamiko ili apate hamasa ya kwenda kwa mganga, astrologist, mitume waongo, etc wapate nafsi yake, wajisifu kwa kufatwa ili kutatua tabu zake ili wamuoneshe waliotaka kumpindua kuwa ustadi wao ndio pendwa kuliko wake.

Miuijiza unayoiona kwa mashehe watumia majini ni kweli. Miujiza unayoiona kwa mapasta feki ni kweli. Kwa maana wamerithishwa codes namna ya kufanya ili ku-amplify nguvu ya miujiza kwa uwezo wa wanyama hawa. Wanawezaje? Wanapataje nguvu na connection hizi ?

Ni mlolongo mrefu wa kuwa chosen na viumbe hawa. Wala Hawakutani nao moja kwa moja ila wana chapa hio nafsini mwao basi husikiaga sauti za hamasa na maelekezo ya wapi pa kwenda na nini cha kufanya ili wawe na nguvu hizi. Chapa hizi ndio zile nilizokuambia kuwa zipo damuni kutokana na mababu zao huko mwanzo kujiungamana nao.

Wazungu wana claim kuwa yale mauaji ya mababu zao waliyoyafanya juu ya wachawi kuwa yalikuwa ni utapeli na sio-haki kwa maana wengi waliuliwa bila hatia. Lakini kwa wajanja tunaelewa kwa nini wanasema haya. Wanasema hivi ili wasiwapatie promo wachawi ili tena generation mpya isije ilkajiingiza katika masuala ya uchawi kwa sababu wanazozijua wao.

Uchawi upo katika degree na level nyingi sana pia ikitegemea asili ya mwanadamu. Ndio maana gamboshi wanaluka na ungo ila mzungu alikuwa analuka na mfagio.

Black magic with a full powerful prowess inachaguliwa kwa wachache sana. Hata hawa waganga na wasoma visomo, wataalamu , watalaamu wa nyota wengi mlionao ni wale wa kufundishwa na babu zao tricks na sio full prowess, ila wale walio na chapa ndani yao ni wachache sana, hawajitangazi na wala hawezi kukuhudumia hata umpe milioni 50 hataki kwa maana utajiri wake ni wa kiroho sio vya dunia, so hadi nafsi imuelekeze. Na hata akikuhudumia anaweza kukuambia hataki chochote chako kwa maana anajua tayari nafsi yako imeshalipa juu kwa juu.

Hawa ndio wale waliota mvua, waliofanya miti isikatwe ili bara bara ipite, kaburi lake kutoharibia ili ujenzi wa ufanyike.
 
Na white magic je?
 
Back
Top Bottom