talking about photoshop...!!
...Mambo ya kuuzunguka mbuyu hayo wajameni..!!!!
hiyo stori niliwahi kuisoma kwenye magazeti ya shigongo kama miezi miwili iliyopita
sasa wewe huwa unasimuliwa tu ''uozo'' wa hayo magazeti?utakuwa wrong babaMkuu usiniambie kuwa una-"peruzi" Magazeti ya Mlokole EShigongo?