Black Rob naye afariki dunia

Jamaa alifilisika Sana hadi anafariki alikuwa homeless person
Ila P diddy sio mtu mzuri kwa utajiri alionao alitakiwa amsaidie jamaa manake aliinua Sana label ya bad boys
Ndiyo hivyo....ila hapo lazima watu wajifunze kuweka akiba
Ila kwa stage aliyofikia jamaa inasikitisha sana

Ova
 
P didy analalamikiwa kuwa na mikataba mibovu,vijana wenye njaa husaini bila kusoma vizuri,mfano Mase,Craig Mark,112 ambao walitaka kubadili jina ili wawe huru Diddy akawaambia walipe brand ya jina tokea walipoanza,jamaa wakaghairisha [emoji134]huyu jamaa huyuu
 
Jamaa alifilisika Sana hadi anafariki alikuwa homeless person
Ila P diddy sio mtu mzuri kwa utajiri alionao alitakiwa amsaidie jamaa manake aliinua Sana label ya bad boys
I hit to the scene in '95 like WHOA!
Broke like a motherf**kin' dog like WHOA!
Robbin' niggaz cribs in Mid-Town like WHOA!

A bunch of white hoes following like WHOA!
They pulling my pants down, sh*t, I'm like WHOA!
They giving me h3ad now, we all like WHOA!
She swallowed the whole d!ck, I'm like WHOA!

come through in X5 like WHOA!!

My nikka like dough nice clothes.

We gon' keep it going
We gon' give you a little taste of the WHOA!
young guns,Bad Boy baby
We won't stop cuz we can't stop!

King Kong III like WHOA
Bushmamy Like WHOA
Wangari Maathai Like WHOA.

Your browser is not able to play this audio.
 
Naona unachana mkuu
 
Du dmx kumbe naye hatunaye.Itakuwa unga umefanya kazi yake
 
Dah, housegeli Mimi nimetoka kapa, 😧utanitafsiria kesho basi king
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…