Black Screen kwenye Laptop

Black Screen kwenye Laptop

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Kwema viongozi. Kama inavyojieleza,

Nikiwasha laptop inawaka lakini inaishia hapo kwenye BlacKScreen, wakati nilikuwa naitumia vizuri tu nikaizima. Kuwasha ndio kila nikijaribu inaishia kwenye BlacKScreen.

Msaada tafadhali.
 
Angalia kama kuna taa Zozote Zinawaka wakat kompyuta ina waka au kuna mlio inatoka yaan beep sounds
Kama kuna viashiria ivyo itakua rahis kutatua changamoto
 
Angalia kama kuna taa Zozote Zinawaka wakat kompyuta ina waka au kuna mlio inatoka yaan beep sounds
Kama kuna viashiria ivyo itakua rahis kutatua changamoto
IMG_20240909_194709_016.jpg

Zinawaka hizi tatu ya power, wi-fi na betry. Ila Cha ajabu imewaka Sasa hivi mpaka mwisho ..wakati imenigomea tangu jana... Maelekezo lisije kujirudia Mkuu likenitesa sana yani. Ila hicho Cha kwanza kushoto kinablinkblink....
 
kuwaka taa nilimaaniasha ku blink yaan, zzinaweza kuwa zina blink mara tatu au zaid kutokana na tatizo liliopo, kuwaka taa kama ivo ni kawaida kwa kompyuta ikiwaka, ila natumai ulisha solve changamoto yako. kama tatizo linakua sio severe una solve mwenyw kuliko kumpelekea fundi akala ela yako, mambo muhimu kujua hali ya pc yako ni kuangalia logs za system mara kwa mara na kuhakikisha uki update pc usiizime mpka imalize ku update.
 
Back
Top Bottom