Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Angalia kama kuna taa Zozote Zinawaka wakat kompyuta ina waka au kuna mlio inatoka yaan beep sounds
Kama kuna viashiria ivyo itakua rahis kutatua changamoto
Ungeweka picha inapoishia ndo ingekuwa vizuri zaidiKwema viongozi. Kama inavyojieleza,
Nikiwasha laptop inawaka lakini inaishia hapo kwenye BlacKScreen, wakati nilikuwa naitumia vizuri tu nikaizima. Kuwasha ndio kila nikijaribu inaishia kwenye BlacKScreen.
Msaada tafadhali.