CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Blacksodier ni aina ya nzi weusi ambao wao kidogo wanakuwa na mwili mdogo ukilinganisha na nzi.
Blacksodier hufugwa kwa minajili ya kuzalisha funza ambao baadae huja kutumika kama chakula cha mifugo.
Tofauti na nzi hawa Black sodier hawan madhara kwa mazingira hasa binadamu kwenye swala zima la kueneza magonjwa.
NI KIVIPI WANAFUGWA?
Hawa hufugwa kwa njia maalimu ambapo hufungiwa ndani kwenye banda maalumu ili wasitoke nje na huko hutaga mayai ambayo hubadilika na kuwa funza.
Humo huweza kulishwa mabaki ya vitu kama matunda na kadhalika.
KWENYE CHAKULA CHA MIFUGO.
Gharama za vyakula vya mifugo vinatokana na Bei ya Protein.
Protein ndo Malighafi ambayo ni ghari sana kwenye kutengeneza chakula cha mifugo.
1. Soya ni ghari sana.
2.Dagaa au unga wa samaki ni ghari sana.
Ni protein ndo inasababisha chakula cha mifugo kiwe ghari sana.
KUTUMIA BLACKSODIER.
Funaza hawa wanaweza kuwa mbadala kabisa wa Dagaa/unga wa samaki na Soya kwenye vyakula vya mifugo.
SABABU.
Funza wa Blacksodier wana kiwango kikubwa mno cha Protein wana kati ya 50 hadi 60% hikikiwango ni juu zaidi ya Soya na juu mno ya dagaa na Samaki unga.
Gharama za kuwatunza ni nafuu sana kuliko Kilimo cha soya au kwenda kununua Dagaa.
Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha Protein na pia kuwa unafuu kwenye kufugwa kuna wafanya kuwa nafuu zadi na mbadala wa Soya na Dagaa.
MATUMIZI.
Hawa funza wa blacksodier wakisha vunwa huoshwa na kukaushwa then husagwa kuwa unga na tiyari kuchanganya kwenye chakula cha mifugo.
Unaweza wafuga in Lager scale kwa minajiri ya kuuzia viwanda vya kutengeneza vyakula vya mifugo hasa chakula cha Kuku, samaki, nguruwe na Ng'ombe pia.