Black Soldier Fly Larvae(BSFL) kama Protein mbadala

Kuna wazungu wanafanya Tanzania mmoja nilikutana nayr Nane nane, wanazalisha sana na yule wa Arusha nasikia ana mkataba wa kuwauzia Intetchick larvae walio kaushwa
Ya wanauza sana sema pia wana fadhiliwa
 
Hii kitu ni nzuri sana hasa ukiwa unalishia mifugo yako, yaani gharama utaziona ni ndogo sana na asikuambia mtu gharama za kulisha mifugo ndo changamoto kwenye ufugaji
Kabisa
 
Hii kitu ni furusa ya kutisha, bahati mbaya sisi lazima kwanza tuhamasishwe na Serikali ndo tulime tofauti na hapo sio rahisi, furusa kama hizi huwezi kutukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…