C cassie Member Joined Dec 12, 2010 Posts 25 Reaction score 7 Aug 16, 2011 #1 Naomba msaada wenu, nimebaki na makovu meusi baada ya kupona fungus. Nini dawa ya kuondoa makovu hayo yaliyodumu kwa mwaka sasa
Naomba msaada wenu, nimebaki na makovu meusi baada ya kupona fungus. Nini dawa ya kuondoa makovu hayo yaliyodumu kwa mwaka sasa
D dkalu Member Joined Aug 12, 2011 Posts 42 Reaction score 1 Aug 17, 2011 #2 Muachie Mungu afanye kazi yake sawaaaaa.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 896 Aug 17, 2011 #3 Yapo sehemu gani hayo makovu