Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Baada ya kusubiria muda mreefu takribani mwaka ni siku kadhaa hatimae July 9 Black widow imeachiwa rasmi. Kwa wanaotumia Disney plus wataipata kwa 30$ though sidhani kama Disney+ inapatika bongo wengine mtaipata Cinema huko...Wazee wa vya bure Torrent ipo mapema tu watu walishaidaka...
Nikeisubiria sina hii muvi aisee toka mei 20 2020 hatimae leo imetoka. Kikubwa nimefurahi kumuona my favorite actor David Harbor akipewa role kubwa kwenye muvi as Red Guardian...Muvi inahusu Natasha Ramanoff (Scarlett Johansson) akiwindwa na kikosi kilichomfunza (Red Room) baada ya tukio la Captain America civil war.... Wamarekani walitengeza super soldier wao Captain America na Warusi wakatengeneza super soldier wao kama Counterpart.
Kama mlitizama Avanger Endgame Natasha alikufa kwa kujitoa sadaka badala ya Clint Barton sasa huku meishoni mrithi wa Natasha ambae ni Yelena Belova anagundua kwamba Clint ndio kasababisha kifo cha dada yake Natasha. Ngoja tusubirie mwendelezo asee.
Nimekua dissapointed na Taskmaster (Olga kulyenko muigizaji toka urusi)kuwekwa Mwanamke wakati Comic version yake ni mwanaume ila ngoja tusubirie inawezekana wana maana yao kufanya hivo.
Ila hawa watu wanapata pesa aseee Imagine Disney plus inawatumiaji active100+mill wengi ni wazungu wa US na UK sasa tuseme tu watu 70mill walipie hizo 30$ ni pesa mingi sana bado Kwenye Cinemas.
Nasubiria August 11 nimeone Chadwick Boseman as Black Panther kwenye What if....?
Unai Rate ngapi...? Out of 10
Wale wa wa KuCrush kwa waigizaji mshindwe wenyewe tu...
Cc
Lee Kunguru wa Manzese tzniceguy Karma
Ninja Assassin