Black Widow 2020

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Baada ya kusubiria muda mreefu takribani mwaka ni siku kadhaa hatimae July 9 Black widow imeachiwa rasmi. Kwa wanaotumia Disney plus wataipata kwa 30$ though sidhani kama Disney+ inapatika bongo wengine mtaipata Cinema huko...Wazee wa vya bure Torrent ipo mapema tu watu walishaidaka...

Nikeisubiria sina hii muvi aisee toka mei 20 2020 hatimae leo imetoka. Kikubwa nimefurahi kumuona my favorite actor David Harbor akipewa role kubwa kwenye muvi as Red Guardian...Muvi inahusu Natasha Ramanoff (Scarlett Johansson) akiwindwa na kikosi kilichomfunza (Red Room) baada ya tukio la Captain America civil war.... Wamarekani walitengeza super soldier wao Captain America na Warusi wakatengeneza super soldier wao kama Counterpart.

Kama mlitizama Avanger Endgame Natasha alikufa kwa kujitoa sadaka badala ya Clint Barton sasa huku meishoni mrithi wa Natasha ambae ni Yelena Belova anagundua kwamba Clint ndio kasababisha kifo cha dada yake Natasha. Ngoja tusubirie mwendelezo asee.

Nimekua dissapointed na Taskmaster (Olga kulyenko muigizaji toka urusi)kuwekwa Mwanamke wakati Comic version yake ni mwanaume ila ngoja tusubirie inawezekana wana maana yao kufanya hivo.
Ila hawa watu wanapata pesa aseee Imagine Disney plus inawatumiaji active100+mill wengi ni wazungu wa US na UK sasa tuseme tu watu 70mill walipie hizo 30$ ni pesa mingi sana bado Kwenye Cinemas.

Nasubiria August 11 nimeone Chadwick Boseman as Black Panther kwenye What if....?

Unai Rate ngapi...? Out of 10
Wale wa wa KuCrush kwa waigizaji mshindwe wenyewe tu...

Cc
Lee Kunguru wa Manzese tzniceguy Karma
Ninja Assassin

 
Sisi wa Kodi na Torrents tuliipata Tangu tarehe 9/07 mapema tu...nway movie ya moto sana, too bad covid itaifanya isiwe na mauzo mazuri.
Wazee wa Torrent hawanaga utani aisee faster tu kitu kichukuliwa. covid ilituharibia sana muvi hii, Shang chi na Eternal ilitakiwa tuzione mwaka jana ila wazungu hawashindwi kitu bwana walishaAdapt mazingira so kila kitu kitaachiliwa hivyohivyo Online.

Ambao hawajaipata wapakue hapa HD kwa mb 800+

 
Ila wazungu wapo serious sana na kazi zao hua najiuliza wanawezaje kuigiza lafudhi za sehemu mbalimbali wakati waigizaji sio wakazi wa maeneo hayo mfano Black Panther wanavyoongea utadhani ni watu wasiojua kingereza wamekulia afrika ndio wameigiza. Au Shang Chi wameigiza kila kitu kama kimeektiwa china kumbe kila kitu kimefayika studio. Waigizaji wote wachina na crew nzima.

Ila hawa watu kweli hawajali pesa, Scott Derrickson director wa Doctor Strange alitangaza 2019 kwamba muendelezo wa Doctor Strange utakua Horror film ila baadae management ya Marvel Studio ikabadirisha kwamba isiwe Horror wakabadiri na stori Director akagoma kuiderect anataka idea yake ile ile itumike akasema kama haitatumika bora aache kazi na akaacha kweli wakati analipwa mamilioni ya dola🙄
Integrity and Consistency

Elizabeth Olsen as Scarlett Witch/Wanda Maximoff
 
Mi nimeipenda hii kwasababu unlike other Marvel's movies hii uhalisia umekuwa mkubwa kuliko effects. It's a good movie Kwa story lakini pia kwasababu at some point niliwahi kuwa na crush na Scarlett Johansson [emoji23][emoji23][emoji23]. Mi Nina app kwenye simu naangalia movie kabla haijawa released
 
Scarlett Johansson' voice is what I need to hear now and then. Nakubali sana projects za Marvel recently jinsi wanavyo jaribu ku introduce new actors and actresses in coming avengers movies.

I see, kwenye next Avengers trilogy tutaona new characters wakiendeleza legacy za;
1.Tony Stark
2. King Tchalla
3. Steve Rogers
4. Black widow

Pia characters za vision na Loki ni muhimu kuzifufua
 
Scarlett Johansson' voice is what I need to hear now and then. Nakubali sana projects za Marvel recently jinsi wanavyo jaribu ku introduce new actors and actresses in coming avengers movies.
Nikiwahi kucrush pia ila nilishaacha hizo mambo.
I see, kwenye next Avengers trilogy tutaona new characters wakiendeleza legacy za;
1.Tony Stark
2. King Tchalla
3. Steve Rogers
4. Black widow
Kama ni msomi wa Comics kuna kundi linaotwa Young avangers ambao limeundwa na
Iron heart - Mtoto wa stark
Stature - Cassie Mtoto wa ant man
Wiccan na Speed watoto wa Wanda
Patriot mjukuu wa isaya bradley (
Ms marvel
Hawkeye - sidekick wa Clint Barton
Hao baadhi tushawaona au mpaka 2022 tutawaona

Pia characters za vision na Loki ni muhimu kuzifufua
Vision is ultimately dead sidhani kama atarudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…