Black woman or white woman (Question & Answer)

Ngojeni kwanza... men kuweni wawazi...Mnatamani kwanza kabla ya kukupenda....
Nimewahi kusikia kwamba wanaume wanasema black woman is the hottest than white woman, is it true?
Secondly, akipita mwanamke mweusi amekula mini dress ya nguvu roho inawastuka lakini apite mzungu in her very short skirt, u just feel nothing.......
 

Ohh, thats is debatable mazee...kila binadamu ana tastes zake..haya mambo hayana general formula.
 

Ohh, thats is debatable mazee...kila binadamu ana tastes zake..haya mambo hayana general formula.

...mpe huyo, ...🙂
 
ni kweli tunaanza kutamani kabla ya kupenda kwani kupenda is more deeper than kutamani.na huwezi kumpenda mtu kabla ya kumtamani (huwezi kusema unakipenda chakula wakati ujawahi kukionja).
na roho kustuka mwanamke anapopita na "very short skirt" si rangi inatufanya tustuke ni maumbile ya msichana huyo anayepita.kwahio kuna wanawake weusi pia ambao wanavaa "very short skirt" na mtu usistuke kwani maumbile yake hayasisimui.na pia kuna wanawake weupe (white woman) wengine wanaweza kuvaa" very short skirt" na tukastuka.kwahio sio swala la rangi ni swala la maumbile ya msichana huyo, ambapo imetokea wengi wa dada zetu wako more blessed kwenye hayo maumbile yanayotufanya tustuke.
 
i will only get near a white woman if she is a meal ticket,otherwise apart from her 100 decibel moans in bed,the rest is negative zero
 
Hmmm, binti wa kizungu amechukia!! well kama nimemsoma vizuri yeye anauliza iweje dada zetu wa kibantu wamtazame kwa macho ya kutaka kumaliza wanapomuona yeye yuko na blackman, ni kweli hii hutokea, hawa dada zetu wanaona kwanini huyo kaka awe na huyu binti wakati sisi dada zake tupo, haya macho ya design hii nimekwisha yaona sana, hii ni jinsia ya mtu ama culture, lakini kila mtu ana haki ya kumpenda amtakae..wengine hata hudiriki kusema, sijui amempendea nini, hebu mcheki kwanza, she's all bones, haya yapo sana
 
ni kweli unayosema muheshimiwa na kama angeweka swali lake hivyo ingekuwa sawa lakini hakuishIa hapo bali yeye na huyo black man wame attack dada zetu kwenye hio post.vitu kama "too fat,too loud, too mean, too argumentative,too needy,too materialistic or carrying too much excess bagggage."vitu hivi vyote sio kweli kwamba wanawake weusi wote wako hivi ni hao ambao "black man" wake ametokea kukutana nao au labda jamaa alitumia maneno hayo kujaribu kuprove his case kwanini anamtaka yeye "white woman" wakati kuna warembo wengi weusi.
kuhusu yeye kutizamwa vibaya hio ni kawaida kwenye kila race sio weusi tu.
 
Subiri Fidel atakuambia ni nini ndugu yangu.

hahahaha WOS hii WESEDE mdau kaniomba nije niijibu huku nilikuwa sijaiona hahahaha mambo yetu yaleee ya wesede mugongo mugongo wacha bana Mbu upo hapo?
 
hahahaha WOS hii WESEDE mdau kaniomba nije niijibu huku nilikuwa sijaiona hahahaha mambo yetu yaleee ya wesede mugongo mugongo wacha bana Mbu upo hapo?



Ama! Kumbe !.......apo naona kila mwanaume kamili lazima azimike tu...
 
Yaani huyo white aliyeandika hiyo barua alikuwa anajiamini nini? wa ajabu anyway jibu alilopewa linamtosha kabisa
 
Niliwahi kusoma article hiyo kwenye mtandao mmoja miaka miwili imepita lakini ukweli ni kuwa mwanamke ni mwanamke tu ili mradi unampenda ila na dhani wanaume wakipata pesa nyingi wanadhani dada zao waafrika hawajui kuzitumia kweli utawaona wanatafuta wanawake wa kizungu ili wapande chati ni ule ule ushamba wa weusi kuona ngozi nyeupe ni bora kwa hiyo tatizo ni pande zote wanaume na wanawake.

na wanawake wakizungu wajiamini wasiwahofia wanawake weusi
 
Hao back women anaowazungumzia ni Wamarekani weusi au Waafrika kutoka Afrika?

Mwanaume akikutamkia anakupenda right from the go basi ujue huyo anatumia neno 'nakupenda' kama daraja la kupata anachotaka...

**Nilishawahi kumtamkia mtu "I Love you" just to get in her pants lakini kiukweli ukweli nilikuwa nimemtamani.
 


white women wanapenda Blackman sababu kubwa ni (BAMBOO) na huku wakiwa wapo free kwa lolote lile jambo ambalo linawafanya baadhi ya Black man kujisahau,tulikuwapo huko hakuna wa kutudanganya,we have done all.
 
???????????????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…